Ukaguzi wa miradi Ukerewe.
Picha
hapo chini yaomwonesha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Injinia Evalist Ndikilo
akiagana na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Mwalimu Queen Mwanshinga
Mlozi katika kivuko cha Ngoma kuelekea kisolya Bunda, baada ya kumaliza
zoezi la ukaguzi wa miladi ya maendeleo Ukerewe.
No comments:
Post a Comment