NECTA YATANGAZA MATOKEO DARASA LA SABA.
HABARI MPYA IMETOKA DAKIKA 5 ZILIZOPITA LEO SAA 02:46 TAREHE 2/11/2013.
NECTA YATANGAZA MATOKEO:
Matokeo ya Darasa la Saba yatangazwa leo, wanafunzi 427,606 sawa na asilimia 50.61 wamefaulu; wengi wafeli hisabati wafaulu Kiswahili. Taarifa kamili zitatoka hivi punde.
SOURCE: From 15569 Vodacom.
No comments:
Post a Comment