Kwenye kijiji cha Nyamira wanakijiji wameamka na kukuta mwili wa mwanamke ukiwa umekatwa kichwa na kutelekezwa pamoja na kufungwa mikono kwa kamba.
Mwili huo ambao unaonyesha kuwa ni mwanamke mwenye miaka kati ya 25
hadi 35 amekutwa umevaa jeans pamoja blouse nyeusi na kutupwa pembeni
ya kijito cha maji mida ya saa 12 na nusu asubuhi.
Wanakijiji walishtuka na tukio hilo na kusema kwamba ni kitu cha
ajabu kwenye kijiji chao na polisi wa Kenya wametangaza familia yoyote
itakayoona kuna mtu amepotea nyumbani kwao atoe taarifa.
Hii ni video ya ripoti kamili ya NTV ya Kenya
SOURCE: Millardayo.com
Use facebook to comment this video.
No comments:
Post a Comment